Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w78 10/15 uku. 24
  • Kufundisha Mwalimu na Darasa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufundisha Mwalimu na Darasa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • Habari Zinazolingana
  • Ninawezaje Kuwa na Uhusiano Mzuri na Mwalimu Wangu?
    Vijana Huuliza
  • Alifanikiwa Kuliko Alivyotarajia
    Amkeni!—2003
  • Ninaweza Kufanya Nini ili Nielewane na Mwalimu Wangu?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
  • Kwa Nini Tunahitaji Walimu?
    Amkeni!—2002
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
w78 10/15 uku. 24

Kufundisha Mwalimu na Darasa

“Siku moja nilipata simu kutoka kwa mwalimu wa mwana wangu,” anaripoti mmoja wa Mashahidi wa Yehova, anayeishi Ohio, (U.S.A.) “Katika mazungumzo alisema kwamba alitaka mimi niende shuleni upesi iwezekanavyo, kwa sababu mwana wangu wa miaka minane ‘alikuwa akivuruga shule yote.’ Nilipofika, niliambiwa kwamba mwanangu alikuwa akiwaambia wanadarasa wenzake kwamba jina la Mungu ni Yehova. Kwa hiyo nikamweleza mwalimu huyo kwa sababu gani Mungu ana jina, namna linavyotajwa zaidi ya mara 6,000 katika Maandiko ya Kiebrania, na nikamalizia kwa kumsomea Zaburi 83:18. Tangu wakati huo mwalimu huyo amemwuliza mwanangu maulizo mengi juu ya imani za Kikristo.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki