Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w76 12/15 uku. 557
  • ‘Hakustahili Kuvivua Viatu vya Masihi’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Hakustahili Kuvivua Viatu vya Masihi’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Masihi! Njia ya Mungu ya Wokovu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • “Tumempata Masihi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
w76 12/15 uku. 557

‘Hakustahili Kuvivua Viatu vya Masihi’

● Kwa habari ya Masihi, Yohana Mbatizaji alisema: “Yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua [kuvivua, NW] viatu vyake.” (Mt. 3:11) Katika karne ya kwanza W.K., ilikuwa kawaida ya watu kuvua viatu (ndara) vyao walipokuwa wakiingia nyumbani halafu walikuwa wakivivaa tena wakati wa kuondoka. Kazi ya kuvulisha mtu viatu vyake ilionwa kama kazi ndogo sana, iliyopaswa kufanywa na mtumwa mwenye cheo cha chini zaidi. Kwa hiyo, wakati Yohana aliposema maneno yake, alionyesha unyenyekevu mwingi, akajionyesha hakustahili hata kuwa mtumwa wa Masihi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki