Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w77 6/15 uku. 271
  • “Kati ya Bonde la Uvuli wa Mauti”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Kati ya Bonde la Uvuli wa Mauti”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Ni Mchungaji Wetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • “Yehova Ni Mchungaji Wangu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Zaburi 23:4—“Nijapopita Kati ya Bonde la Uvuli wa Mauti”
    Mistari ya Biblia Yafafanuliwa
  • Mchungaji Mwenye Upendo
    Kumsikiliza Mwalimu Mkuu
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
w77 6/15 uku. 271

“Kati ya Bonde la Uvuli wa Mauti”

Mtunga zaburi Daudi alisema: “Nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya.” (Zab. 23:4) Daudi alikuwa amefahamu sana hatari wanazopata kondoo kwa maana alikuwa mvulana mchungaji. Huenda wanyama-mwitu wakaotea katika bonde lenye giza. Au huenda wanyang’anyi wakawa wanaotea. Huenda pia yakawako mashimo kadha yenye vina virefu. Kwa hiyo, kondoo angekuwa katika hatari kubwa asipotunzwa na mchungaji. Vivyo hivyo, Daudi aliingia katika hali zenye hatari. Lakini kwa sababu alimtumaini Yehova, Mchungaji Mkuu, Daudi alijisikia akiwa salama.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki