Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w77 9/1 uku. 393
  • “Sinagogi la Mahuru”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Sinagogi la Mahuru”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Habari Zinazolingana
  • Sinagogi—Mahali Ambapo Yesu na Wanafunzi Wake Walihubiri
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Yesu Afanya Miujiza Huko Kapernaumu
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
  • Tembea Katika Hofu kwa Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
w77 9/1 uku. 393

“Sinagogi la Mahuru”

■ Kati ya watu waliobishana na Stefano, wengine walikuwa wa “lililoitwa sinagogi la Mahuru.” (Matendo 6:9) Hao walikuwa watu gani? Mtu huru alikuwa mtumwa aliyekombolewa. Kwa hiyo, huenda ikawa kwamba walioshirikiana na “sinagogi la Mahuru” walikuwa watumwa waliowekwa huru, waliokuwa wamekuwa waongofu Wayahudi au Wayahudi waliotekwa na Warumi na baadaye wakaachiliwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki