Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w78 3/1 uku. 22
  • Chakula cha Yohana Mbatizaji Kilikuwa na Ubora Gani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Chakula cha Yohana Mbatizaji Kilikuwa na Ubora Gani?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • Habari Zinazolingana
  • Asali—Zawadi ya Nyuki kwa Wanadamu
    Amkeni!—2005
  • Sababu Kwa Nini Matoleo ya Asali Hayakukubaliwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Asali Ni Dawa Bora
    Amkeni!—2002
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
w78 3/1 uku. 22

Chakula cha Yohana Mbatizaji Kilikuwa na Ubora Gani?

Chakula cha Yohana Mbatizaji kilikuwa “nzige na asali ya mwitu.” (Mt. 3:4) Kulingana na uchunguzi uliofanywa Yerusalemu, nzige wa jangwani wana protein 75 kwa mia. Kwa habari ya kutumia asali kama chakula, The Encyclopedia Americana kinasema: “Asali ina faida nyingi sana, hasa kwa maana inapasha nguvu za mwili joto, kwa sababu sehemu nne kwa tano za asali ni sukari na wanga.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki