Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w80 4/15 uku. 12
  • Sababu Kwa Nini Matoleo ya Asali Hayakukubaliwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sababu Kwa Nini Matoleo ya Asali Hayakukubaliwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Habari Zinazolingana
  • Asali—Zawadi ya Nyuki kwa Wanadamu
    Amkeni!—2005
  • Asali Ni Dawa Bora
    Amkeni!—2002
  • “Nchi Inayotiririka Maziwa Na Asali”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Chakula cha Yohana Mbatizaji Kilikuwa na Ubora Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
w80 4/15 uku. 12

Sababu Kwa Nini Matoleo ya Asali Hayakukubaliwa

Sheria ya Mungu kwa Israeli ilisema hivi: “Hamtateketeza chachu, wala asali iwayo yote, kuwa ni sadaka ya kusongezwa kwa [Yehova] kwa njia, ya moto” (Law. 2:11) Bila shaka namna ya asali inayotajwa hapa ni asali ya matunda, kwa kuwa asali ya namna hiyo, wala si asali ya nyuki, ingeweza kuitwa malimbuko. (Law. 2:12; 2 Nya. 31:5) Asali ya matunda ingeweza kuchachuka, na kwa hiyo, kwa kujaa ilikatazwa isitolewe kama sadaka madhabahuni.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki