Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w78 8/15 uku. 8
  • Elimu ya Uzima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Elimu ya Uzima
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • Habari Zinazolingana
  • Nifanye Nini Ikiwa Ninaanguka Mitihani?
    Vijana Huuliza
  • Jinsi ya Kumsaidia Mtoto Wako Afanye Vizuri Shuleni
    Msaada kwa Ajili ya Familia
  • Shule Yenye Mafanikio Ambayo Ni ya Ulimwenguni Pote
    Amkeni!—1995
  • Je, Niache Shule?
    Amkeni!—2010
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
w78 8/15 uku. 8

Elimu ya Uzima

MWALIMU katika Ecuador ameongoza funzo la Biblia kwa wanafunzi zaidi ya 200 kwa ukawaida katika shule yake. Kabla ya kuanza kipindi cha shule, aliwaeleza wazazi wote jambo alilofikiria kufanya akawauliza kama kuna ye yote anayepinga. Hakukuwa hata mmoja aliyepinga​—⁠kwa kweli, wengine walisema kwamba walifurahia kuona watoto wao wakifundishwa mwenendo na mazoea mema. Shule hiyo ina madarasa kuanzia la pili mpaka la sita, kwa hiyo wanafunzi wa madarasa kuanzia la pili mpaka la nne walipewa kitabu “Kumsikiliza Mwalimu Mkuu,” lakini darasa la tano na sita walipata kitabu chenye mafundisho magumu zaidi “Your Youth​—⁠Getting the Best out of It.” Mafunzo yanaongozwa vikundi vikundi, kama vile masomo ya kawaida darasani, lakini mafunzo yanaanzwa na kufungwa kwa sala, kama katika funzo la Biblia la nyumbani.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki