Sababu Tunaweza Kuwa na Uhakika Ulimwengu Bora Umekaribia
Kwa kuwa uhalifu unaongezeka, talaka zinaongezeka sana na bei za vitu zinapanda upesi, kuna msingi gani wa kuwa na uhakika huo?
Magazeti Mnara wa Mlinzi na Amkeni! hayaelezi mambo yanayotukia ulimwenguni tu, bali yanaonyesha pia sababu tunaweza kutazamia mambo mema wakati ujao kwa kuutegemea unabii wa Biblia. Tupelekee shilingi 30.00 (Zaire 9.00Z) tu uyapokee magazeti yote mawili kwa mwaka mmoja, nakala mbili za Mnara wa Mlinzi kila mwezi na moja ya Amkeni! kila mwezi.
Tafadhali nipelekeeni Mnara wa Mlinzi na Amkeni! kwa mwaka mmoja. Nimewapelekea shilingi 30.00 (Zaire 9.00Z). Kwa sababu ya kuwapelekea cheti hiki nitapokea bure vijitabu sita