Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w08 3/1 uku. 17
  • Uharibifu wa Sodoma na Gomora

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uharibifu wa Sodoma na Gomora
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Habari Zinazolingana
  • Yesu Anawaponya Watu Kimuujiza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Ashinda Vishawishi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Yesu Awashangaza Wasikilizaji Wake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Petro Amkana Yesu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
w08 3/1 uku. 17

Kwa Ajili ya Vijana Wetu

Uharibifu wa Sodoma na Gomora

Maagizo: Fanya zoezi hili katika mazingira matulivu. Unaposoma maandiko, jiwazie ukiwa katika matukio yanayozungumziwa. Wazia kikao. Sikia sauti. Hisi kama wahusika wakuu wanavyohisi.

CHUNGUZA TUKIO HILI.—SOMA MWANZO 19:1-14.

Eleza yale unayofikiri kuhusu sura ya wageni wa Loti.

․․․․․

Ni watu wa aina gani waliokuwa katika umati huo?

․․․․․

CHIMBA ZAIDI.—SOMA MWANZO 13:7-13.

Loti alikuja kuwa mkaaji wa Sodoma jinsi gani?

․․․․․

Kwa nini Yehova aliona kwamba watu waliokaa huko walistahili kuharibiwa?

․․․․․

SOMA MWANZO 19:15-26.

Ni mambo gani yanayoonyesha kwamba Yehova alimjali Loti?

․․․․․

Unafikiri ni kwa nini mke wa Loti alitazama nyuma?

․․․․․

Kwa nini aliharibiwa?

․․․․․

TUMIA MAMBO ULIYOJIFUNZA. ANDIKA MAMBO ULIYOJIFUNZA KUHUSU . . .

Maoni ya Yehova kuhusu uovu.

․․․․․

Huruma za Yehova.

․․․․․

Jinsi Yehova anavyowaonya watu wake kabla ya kuchukua hatua ya hukumu.

․․․․․

Jambo fulani katika simulizi hilo ambalo ni la maana zaidi kwako, na kwa nini unaona hivyo.

․․․․․

․․․․․

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki