Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w08 5/1 uku. 23
  • Yesu Anawaponya Watu Kimuujiza

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu Anawaponya Watu Kimuujiza
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Habari Zinazolingana
  • Uharibifu wa Sodoma na Gomora
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Awashangaza Wasikilizaji Wake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Ashinda Vishawishi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Petro Amkana Yesu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
w08 5/1 uku. 23

Kwa Ajili ya Vijana Wetu

Yesu Anawaponya Watu Kimuujiza

Maagizo: Fanya zoezi hili katika mazingira matulivu. Unaposoma maandiko, jiwazie ukiwa katika matukio yanayozungumziwa. Wazia kikao. Sikia sauti. Wazia kwamba masimulizi haya ni halisi kabisa.

CHUNGUZA TUKIO HILI.—SOMA MATHAYO 15:21-28.

Unafikiri mama huyo alikuwa akihisi namna gani?

․․․․․

Katika mistari ifuatayo “umesikia” sauti ya Yesu ikiwa na hisia gani?

24 ․․․․․ 26 ․․․․․ 28 ․․․․․

CHIMBA ZAIDI.

Yesu alionyesha mara ngapi kwa maneno au kwa matendo kwamba hangemponya binti ya mwanamke huyo?

․․․․․

Mwanzoni, kwa nini Yesu hakutaka kumponya?

․․․․․

Basi kwa nini Yesu alimponya?

․․․․․

TUMIA MAMBO ULIYOJIFUNZA. ANDIKA MAMBO ULIYOJIFUNZA KUHUSU . . .

Usawaziko wa Yesu.

․․․․․

Jinsi unavyoweza kuiga sifa hiyo unaposhughulika na wengine.

․․․․․

CHUNGUZA TUKIO HILI.—SOMA MARKO 8:22-25.

Unafikiri ungesikia sauti gani na kuona mambo gani ndani na nje ya kijiji hicho?

․․․․․

CHIMBA ZAIDI.

Unafikiri ni kwa nini Yesu alimtoa mtu huyo nje ya kijiji kabla ya kumponya?

․․․․․

TUMIA MAMBO ULIYOJIFUNZA. ANDIKA MAMBO ULIYOJIFUNZA KUHUSU . . .

Hisia za Yesu kuelekea walemavu—hata ingawa yeye mwenyewe hajawahi kuwa mlemavu.

․․․․․

NI MAMBO GANI KATIKA MASIMULIZI HAYO MAWILI YA BIBLIA AMBAYO YAMEKUGUSA MOYO SANA, NA KWA NINI?

․․․․․

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki