Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w12 6/15 kur. 12-13
  • Wafalme Wanane Wafunuliwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wafalme Wanane Wafunuliwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Ni “Mfunuaji wa Siri”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Yehova Anafunua Mambo Ambayo “Lazima Yatendeke Upesi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Kitabu cha Ufunuo Kinamaanisha Nini kwa Maadui wa Mungu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
w12 6/15 kur. 12-13

Wafalme Wanane Wafunuliwa

Kwa ujumla, vitabu vya Biblia vya Danieli na Ufunuo havifunui tu wafalme wanane, au serikali za wanadamu, bali pia vinaonyesha jinsi ambavyo serikali hizo zingefuatana. Tunaweza kuelewa maana ya unabii huo mbalimbali tukielewa unabii wa kwanza kabisa ulioandikwa katika Biblia.

Katika historia yote, Shetani amepanga uzao wake katika makundi mbalimbali ya kisiasa au falme. (Luka 4:5, 6) Hata hivyo, ni falme chache sana za wanadamu ambazo zimejitahidi sana kuwapinga watu wa Mungu, iwe ni taifa la Israeli au kutaniko la Wakristo watiwa-mafuta. Maono ya Danieli na Yohana yanaeleza kuhusu jumla ya serikali kuu nane tu za aina hiyo.

[Chati/​Picha katika ukurasa wa 12, 13]

(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

UNABII MBALIMBALI UNABII MBALIMBALI

ULIO KATIKA KITABU ULIO KATIKA KITABU

CHA DANIELI CHA UFUNUO

1. Misri

2. Ashuru

3. Babiloni

4. Umedi

na Uajemi

5. Ugiriki

6. Roma

7. Uingereza

na Marekania

8. Ushirika wa Mataifa

na Umoja wa Mataifab

WATU WA MUNGU

2000 K.W.K.

Abrahamu

1500

Taifa la Israeli

1000

Danieli 500

K.W.K./W.K.

Yohana

Israeli wa Mungu 500

1000

1500

2000 W.K.

[Maelezo ya Chini]

a Katika siku za mwisho, wafalme wote wawili wanatawala. Tazama ukurasa wa 19.

b Katika siku za mwisho, wafalme wote wawili wanatawala. Tazama ukurasa wa 19.

[Picha]

Ile sanamu kubwa sana (Dan. 2:31-45)

Wanyama wanne kutoka baharini (Dan. 7:3-8, 17, 25)

Kondoo-dume na mbuzi (Dan., sura ya 8)

Mnyama-mwitu mwenye vichwa saba (Ufu. 13:1-10, 16-18)

Mnyama-mwitu mwenye pembe mbili anachochea utengenezaji wa sanamu ya mnyama-mwitu (Ufu. 13:11-15)

[Hisani]

Photo credits: Egypt and Rome: Photograph taken by courtesy of the British Museum; Medo-Persia: Musée du Louvre, Paris

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki