Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp18 Na. 2 uku. 2
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Dunia
    Amkeni!—2014
  • Kuishi Milele Si Ndoto Tu
    Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
wp18 Na. 2 uku. 2

Utangulizi

MAISHA YATAKUWAJE WAKATI UJAO?

Je, umewahi kujiuliza maisha yako na ya familia yako yatakuwaje wakati ujao? Biblia inasema:

“Waadilifu wataimiliki dunia, nao wataishi humo milele.”​—Zaburi 37:29.

Toleo hili la Mnara wa Mlinzi litakusaidia kujua kusudi zuri la Mungu la kuiumba dunia na wanadamu, na pia kile unachopaswa kufanya ili ufaidike kutokana na kusudi hilo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki