Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp18 Na. 3 uku. 2
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Mungu Anahisije Anapoona Ukiteseka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
wp18 Na. 3 uku. 2

Utangulizi

JE, MUNGU ANAKUJALI?

Majanga yanapotokea au watu wanapoteseka na kufa, huenda tukajiuliza ikiwa kweli Mungu anaona kinachoendelea au hata ikiwa anajali. Biblia inasema:

“Kwa maana macho ya Yehova yanawatazama waadilifu, na masikio yake yanasikiliza dua yao, lakini uso wa Yehova uko dhidi ya wale wanaotenda maovu.”—1 Petro 3:12.

Toleo hili la Mnara wa Mlinzi linaonyesha jinsi Mungu anavyotusaidia na jinsi ambavyo hivi karibuni ataondoa hali zote ngumu zinazofanya tuteseke.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki