Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp18 Na. 3 uku. 16
  • Mungu Anahisije Anapoona Ukiteseka?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mungu Anahisije Anapoona Ukiteseka?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • FIKIRIA KILE AMBACHO BIBLIA INASEMA
  • Biblia Inasema Nini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2017
  • ‘Anakujali’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
  • Unaweza Kumkaribia Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
  • Biblia Inasema Nini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2017
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
wp18 Na. 3 uku. 16
Watu wakipekuapekua mabaki ya vitu vilivyoteketezwa na moto

Mungu anahisije anapoona ukiteseka?

Baadhi ya watu wanaamini kwamba Mungu haoni mateso wanayokabili na wala hajali.

FIKIRIA KILE AMBACHO BIBLIA INASEMA

  • Mungu anaona na anajali

    “Yehova akaona kwamba uovu wa mwanadamu ulikuwa mkubwa duniani . . . , na moyo wake ukahuzunika.”—Mwanzo 6:5, 6.

  • Mungu atakomesha mateso yote

    “Bado muda mfupi tu, na watu waovu hawatakuwepo tena; utapaangalia mahali walipokuwa, nao hawatakuwepo. Lakini wapole wataimiliki dunia, nao watafurahia kwelikweli wingi wa amani.” —Zaburi 37:10, 11.

  • Mipango ya Mungu kwa ajili yako

    “‘Ninajua vizuri mawazo ninayofikiria kuwaelekea ninyi,’ asema Yehova, ‘mawazo ya amani, wala si ya msiba, ili niwape ninyi wakati ujao na tumaini. Nanyi mtaniita na kuja na kusali kwangu, nami nitawasikiliza.’”—Yeremia 29:11, 12.

    “Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.”—Yakobo 4:8.

Ili ujifunze mengi kuhusu sababu za Mungu kuruhusu kuteseka, soma somo la 26 la kitabu hiki, Furahia Maisha Milele? kilichochapishwa na Mashahidi wa Yehova.

Pia kinapatikana kwenye www.jw.org/sw

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki