Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp19 Na. 1 uku. 16
  • Unaweza Kumkaribia Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaweza Kumkaribia Mungu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Anakujali’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
  • Jinsi Kweli Inavyoweza Kukunufaisha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2020
  • Mungu Anahisije Anapoona Ukiteseka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
  • “Wapole Wataimiliki Dunia”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
wp19 Na. 1 uku. 16

Unaweza Kumkaribia Mungu

BAADHI YA WATU HUHISI KWAMBA . . .

Mungu hajishughulishi sana na sisi au yeye ni mkuu sana, mtakatifu, na hatuwezi kumkaribia.

BIBLIA INASEMA HIVI

Mwanamke akisoma Biblia

“Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.”—Yakobo 4:8.

“[Tupeni] mahangaiko yenu yote juu yake, kwa sababu yeye anawajali ninyi.”—1 Petro 5:7.

UNAWEZA KUFANYA NINI ILI USITAWISHE UHUSIANO WA KARIBU NA MUNGU?

  • Ongea naye.—Zaburi 145:18, 19.

  • Msikilize.—Zaburi 32:8.

  • Fuata mwongozo wake.—Methali 3:5, 6.

  • Usikate tamaa.—Mathayo 7:7, 8.

Ili kupata habari zaidi kuhusu maisha bora ya wakati ujao ambayo Mungu anaahidi, anza kujifunza Biblia kupitia broshua hii iliyochapishwa na Mashahidi wa Yehova, ambayo pia inapatikana kwenye tovuti ya www.jw.org/sw

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki