Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/88 uku. 4
  • Rekebisho Katika Ratiba ya Funzo la Mnara wa Mlinzi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Rekebisho Katika Ratiba ya Funzo la Mnara wa Mlinzi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1988
  • Habari Zinazolingana
  • Ratiba ya Familia—Funzo la Familia
    Huduma ya Ufalme—2005
  • Toleo Jipya la Funzo la Mnara wa Mlinzi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Kujifunza Kitabu Unabii wa Danieli
    Huduma Yetu ya Ufalme—2000
  • Je, Wewe Utafanya Upainia Msaidizi?
    Huduma ya Ufalme—2013
Pata Habari Zaidi
Huduma Yetu ya Ufalme—1988
km 5/88 uku. 4

Rekebisho Katika Ratiba ya Funzo la Mnara wa Mlinzi

Kuanzia toleo la Mnara wa Mlinzi la Machi 1, 1988, Ratiba ya funzo la Mnara wa Mlinzi ambayo hutokea kwenye ukurasa wa 2 wa kila toleo itarekebishwa ili kuonyesha majuma yanayoanzia Jumatatu badala ya Jumapili. Ili kupatana na mpango wa ulimwengu wote tutaonyesha pia majuma kuanzia Jumatatu badala ya Jumapili. Kulingana na mpango huu, habari ambayo imegawiwa juma linaloanzia Aprili 25 itasomwa Mei 1 na makundi ambayo yanakuwa na Funzo lao la Mnara wa Mlinzi Jumapili.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki