Mikutano ya Utumishi wa Shambani
MEI 6-12
Tutembeleapo tena waandikishaji
1. Twaweza kuongea juu ya nini?
2. Twaweza kuanzishaje funzo?
MEI 13-19
Vijana katika utumishi wa shambani
1. Waweza kushiriki katika njia zipi?
2. Twaweza kuwasaidiaje?
MEI 20-26
Toa magazeti ya karibuni zaidi
1. Utaonyesha makala ipi kwa mwanamume? mwanamke? kijana?
2. Utatumia mambo gani hususa?
MEI 27-JUNI 2
Kutumia toleo la sasa
1. Pitia Kichwa cha Mazungumzo.
2. Patanisha toleo na Kichwa cha Mazungumzo.
3. Ni mambo yapi ya kuzungumzia katika toleo yawezayo kutumiwa?