Mikutano ya Utumishi wa Shambani
AGOSTI 1-7
Kichwa cha Mazungumzo
1. Pitieni Kichwa kipya.
2. Utakitangulizaje?
AGOSTI 8-14
Eleza jinsi utatoa
1. Furahia Maisha Milele Duniani!
2. Serikali Itakayoleta Paradiso.
3. Jina la Mungu Litakaloendelea Milele.
AGOSTI 15-21
Maandishi ya nyumba kwa nyumba
1. Kwa nini kutumia mbili?
2. Ni habari zipi zinazopaswa kuandikwa?
3. Utafanya nini na orodha ya wasiopatikana nyumbani?
AGOSTI 22-28
Kufuatia kupendezwa
1. Unapaswa kufanya ziara ya kurudia haraka kadiri gani?
2. Unaweza kusema nini ili kujenga kupendezwa kulikoonyeshwa kwanza?
3. Unaweza kuwekaje msingi kwa ajili ya ziara inayofuata?
AGOSTI 29-SEPTEMBA 4
Kichwa cha Mazungumzo
1. Pitieni Kichwa cha sasa.
2. Utaingizaje toleo jipya la kichapo?