Mikutano ya Utumishi wa Shambani
AGOSTI 6-12
Utatangulizaje broshua
1. Furahia Milele Maisha Duniani!?
2. Serikali Itakayoleta Paradiso?
3. Jina la Mungu Litakaloendelea Milele?
AGOSTI 13-19
Ni jinsi gani unaweza
1. Kuanzisha funzo la Biblia kwenye ziara ya kwanza? (rsSW, uku. 10)
2. Kurekebisha habari ya funzo hasa kwa ajili ya mwanafunzi?
AGOSTI 20-26
Kufuatia upendezi
1. Ziara ya kurudia yapasa kutimiza nini?
2. Wewe hujitayarishaje kwa ajili ya ziara ya kurudia?
3. Kwa nini uwe na wazo hususa la kueleza?
AGOSTI 27–SEPTEMBA 2
Ni jinsi gani
1. Utaanzisha ushahidi wa vivi hivi?
2. Utafungua mazungumzo kwa broshua?
3. Utaonyesha kitabu Creation?