Mikutano ya Utumishi wa Shambani
AGOSTI 5-11
Kutoa ushahidi kwa broshua
1. Kwa nini uwe na za aina mbalimbali?
2. Ni nini kinachoweza kukusaidia kuamua ni ipi utatoa?
3. Wewe utatoaje broshua?
AGOSTI 12-18
Saidianeni mmoja na mwenzake katika kutoa ushahidi mkiwa kikundi
1. Wakati kati ya milango waweza kutumiwaje kwa hekima?
2. Wenzi waweza kuwaje na ushiriki katika kutoa ushahidi?
AGOSTI 19-25
Mafunzo ya Biblia yaweza kuanzishwaje?
1. Kwa trakti?
2. Kwa broshua?
3. Mahali ambapo fasihi haikuangushwa?
AGOSTI 26-SEPTEMBA 1
Kwa nini uwe na
1. Kitabu Kutoa Sababu?
2. Karatasi ya maandishi ya nyumba kwa nyumba na kalamu?
3. Trakti mbalimbali?