HAZINA ZA NENO LA MUNGU | EZEKIELI 6-10
Je, Utatiwa Alama ya Wokovu?
Maono ya Ezekieli yalitimizwa kwa mara ya kwanza Yerusalemu la kale lilipoharibiwa. Yatatimizwaje katika siku zetu?
Yule mwanamume mwenye kidau cha wino anawakilisha Yesu Kristo
Wale wanaume sita walio na silaha za kuponda wanawakilisha majeshi ya mbinguni yakiongozwa na Kristo
Umati mkubwa utatiwa alama watakapohukumiwa kuwa kondoo wakati wa dhiki kuu