Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Januari uku. 7
  • Yesu Aliwaburudisha Watu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu Aliwaburudisha Watu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • “Nira Yangu ni ya Fadhili na Mzigo Wangu ni Mwepesi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Kitulizo Kinachofaa cha Mkazo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Mathayo 11:28-30—“Njoni Kwangu, . . . Nami Nitawapumzisha”
    Mistari ya Biblia Yafafanuliwa
  • “Njooni Kwangu, . . . Nami Nitawaburudisha”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Januari uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 10-11

Yesu Aliwaburudisha Watu

11:28-30

Mwanamke katika nyakati za Biblia akiwa amebeba nira

“Nira yangu ni laini”

Kwa kuwa Yesu alikuwa seremala, alijua jinsi ya kutengeneza nira, labda hata kuifunika kwa kitambaa au kwa ngozi ili kazi ifanywe kwa starehe kadiri iwezekanavyo. Tunapokubali nira ya Yesu ya kuwa wanafunzi wake tunapobatizwa, tunakubali kubeba kazi na madaraka mazito, lakini hiyo ni kazi yenye kuburudisha ambayo inatuletea baraka nyingi.

Umefurahia baraka zipi tangu ulipoanza kubeba nira ya Yesu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki