Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Mei uku. 6
  • Yehova Atakusaidia Uwe Jasiri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Atakusaidia Uwe Jasiri
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Mungu Anajali Tunapoteseka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Tafuta Majibu ya Maswali Haya
    Programu ya Kusanyiko la Mzunguko la 2018-2019—Lililo na Mwangalizi wa Mzunguko
  • ‘Sema Neno la Mungu kwa Ujasiri’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Kwa Nini Mungu Anaruhusu Watu Wateseke?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Mei uku. 6
Msichana Mwisraeli akizungumza na mke wa Naamani

MAISHA YA MKRISTO

Yehova Atakusaidia Uwe Jasiri

Ikiwa bado uko shuleni, je, kuna wakati ambapo unaogopa kujitambulisha kuwa Shahidi wa Yehova na kuwahubiria wengine? Ikiwa ndivyo, unaweza kufanya nini ili ‘ujipe ujasiri’ wa kusema kumhusu Yehova? (1Th 2:2) Una sababu zipi za kusema kwa ujasiri? Tazameni video Yehova Atakusaidia Uwe Jasiri, kisha mjibu maswali yafuatayo:

  1. Sofia akimpa Zoe kitabu Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu; mvulana Shahidi akimsomea mwanafunzi mwenzake kitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza

    Ni mfano gani wa Biblia uliomsaidia Sofia awe na ujasiri?

  2. Sofia alifaidikaje kutokana na vipindi vya mazoezi?

  3. Kwa nini unapaswa kuwahubiria wanafunzi wenzako?

  4. Ikiwa tayari umemaliza shule, video hiyo imekufundisha mambo gani?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki