Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Juni uku. 4
  • Iga Unyenyekevu wa Maria

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Iga Unyenyekevu wa Maria
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • “Tazama! Kijakazi wa Yehova!”
    Igeni Imani Yao
  • Mfano wa Maria Unatufundisha Nini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • “Tazama! Kijakazi wa Yehova!”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Alikata “Kauli Moyoni Mwake”
    Igeni Imani Yao
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Juni uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 1

Iga Unyenyekevu wa Maria

Yehova alimchagua Maria na kumpa pendeleo ambalo hakuna mtu aliyewahi kupata wala hakuna mwingine atakayewahi kupata, kwa sababu alikuwa na mtazamo mzuri sana.

Malaika Gabrieli akizungumza na Maria

1:38, 46-55

Maneno ya Maria yanaonyeshaje . . .

  • unyenyekevu wake?

  • imani yake yenye nguvu?

  • ujuzi wake wa Maandiko?

  • uthamini wake?

MAMBO YA KUTAFAKARI:

Je, nina imani yenye nguvu kwamba Yehova atanisaidia kupatana na mapenzi yake? Ninaweza kuigaje mfano wa Maria kwa njia nzuri zaidi?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki