Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Agosti uku. 2
  • Onyesheni Shukrani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Onyesheni Shukrani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Kwa Nini Uonyeshe Shukrani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Je, Utaitumia Hii Fursa?
    Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Wafundishe Watoto Wako Kuonyesha Shukrani
    Msaada kwa Ajili ya Familia
  • Nitamlipa Yehova Nini?”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Agosti uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 17-18

Onyesheni Shukrani

17:11-18

Wanaume kumi wenye ukoma wamwomba Yesu awaonyeshe rehema, wanatakaswa, lakini mmoja tu ndiye anayemshukuru Yesu

Tukio hili linatufundisha nini kuhusu kuonyesha shukrani?

  • Mbali tu na kuthamini jambo moyoni tunapaswa pia kuonyesha shukrani

  • Kuonyesha shukrani kwa unyoofu ni uthibitisho wa upendo wa Kikristo na ni adabu

  • Wale wanaotaka kumpendeza Kristo wana wajibu wa kuwaonyesha watu wote upendo na shukrani, bila kujali taifa, rangi, au dini yao

Ni lini mara ya mwisho nilipomshukuru mtu kwa kunisaidia?

Ni lini mara ya mwisho nilipomwandikia mtu ujumbe wa kumshukuru?

Dada akiandika ujumbe wa kushukuru
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki