Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Oktoba uku. 2
  • Yesu Anajali Kondoo Wake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu Anajali Kondoo Wake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Mahali pa Kupata Faraja
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
  • Mchungaji Mwenye Upendo
    Kumsikiliza Mwalimu Mkuu
  • “Aliyepotea Nitamtafuta”
    Mrudie Yehova
  • Zuru Bara, Zuru Kondoo!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Oktoba uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YOHANA 9-10

Yesu Anajali Kondoo Wake

10:1-5, 11, 14, 16

Uhusiano kati ya mchungaji na kondoo unategemea ujuzi na kuaminiana. Yesu, Mchungaji Mwema, anawajua kondoo wake kibinafsi—anajua mahitaji, udhaifu, na sifa nzuri za kila kondoo. Kondoo wanamjua vizuri mchungaji wao na wanaamini uongozi wake.

Yesu, yule Mchungaji Mwema, . . .

  • anawakusanyaje kondoo wake?

  • anawaongozaje kondoo wake?

  • anawalindaje kondoo wake?

  • anawalishaje kondoo wake?

Mchungaji akilinda mlango wa zizi la kondoo

JAMBO LA KUTAFAKARI: Ninaweza kufanya nini zaidi ili kuonyesha ninathamini utunzaji wa Yesu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki