Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Oktoba uku. 3
  • Iga Huruma ya Yesu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Iga Huruma ya Yesu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • “Akawasikitikia”
    ‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
  • Mwige Yehova Katika Kuonyesha Huruma
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • “Huruma Nyororo ya Mungu Wetu”
    Mkaribie Yehova
  • Iweni Wenye “Huruma Nyororo”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Oktoba uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YOHANA 11-12

Iga Huruma ya Yesu

Yesu akimfariji Maria huku akitazamwa na watu wengine

11:23-26, 33-35, 43, 44

Ni nini kilichofanya huruma na hisia-mwenzi za Yesu ziwe za pekee sana?

  • Ingawa hakuwahi kukabiliana na hali zote za wengine, Yesu alijiweka katika hali zao na kuhisi maumivu waliyohisi

  • Hakuona aibu kuonyesha hisia zake hadharani

  • Alichukua hatua ya kwanza kuwasaidia wenye uhitaji

Dada mwenye umri anamkumbatia dada wa makamo na kumfariji

Ni katika njia zipi ninaweza kuonyesha ninajali hisia za wengine?

Ninaweza kuwasaidiaje watu wenye uhitaji?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki