Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Juni uku. 5
  • “Vaeni Mavazi Kamili ya Silaha Kutoka kwa Mungu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Vaeni Mavazi Kamili ya Silaha Kutoka kwa Mungu”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • “Vaeni Suti Kamili ya Silaha Kutoka kwa Mungu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
  • “Vaeni Mavazi Kamili ya Silaha Kutoka kwa Mungu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Jinsi ya Kutambua na Kuushinda Udhaifu Wowote wa Kiroho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Juni uku. 5
Mwanamume akiwa na mavazi kamili ya silaha

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAEFESO 4-6

“Vaeni Mavazi Kamili ya Silaha Kutoka kwa Mungu”

6:11-17

Mtume Paulo aliwalinganisha Wakristo na askari walio vitani. Adui zetu ni “majeshi ya roho waovu.” Ingawa tunaonekana kuwa dhaifu na rahisi kushambuliwa, tunaweza kushinda vita hivyo kwa msaada wa Yehova ikiwa “[tutavaa] mavazi kamili ya silaha kutoka kwa Mungu.”

Tambulisha kila sehemu ya mavazi ya silaha na kile inachowakilisha

Kila sehemu ya mavazi kamili ya silaha

JAMBO LA KUTAFAKARI: Je, mavazi yangu ya silaha ni kamili?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki