Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Desemba uku. 6
  • “Tazama! Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Tazama! Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Mbingu Mpya na Dunia Mpya Zitatokeza Shangwe Nyingi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • “Mambo ya Zamani Hayatakumbukwa Akilini”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Ufunuo 21:1—“Mbingu Mpya na Dunia Mpya”
    Mistari ya Biblia Yafafanuliwa
  • Ulimwengu Mpya Ulioahidiwa Na Mungu
    Endeleeni Kukesha!
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Desemba uku. 6
Kuta za Yerusalemu jipya ni yaspi, na jiji hilo ni safi kama dhahabu na linang’aa kama kioo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | UFUNUO 20-22

“Tazama! Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya”

21:1-5

Yehova anaahidi kufanya vitu vyote kuwa vipya.

  • “Mbingu mpya”: Serikali mpya itakayoleta hali za uadilifu duniani

  • “Dunia mpya”: Jamii ya wanadamu wanaojitiisha kwa utawala wa Mungu na kuishi kupatana na viwango vyake

  • “Vitu vyote kuwa vipya”: Kumbukumbu zote za kuteseka kimwili, kiakili, na kihisia zitabadilishwa na kuwa kumbukumbu zenye shangwe siku baada ya siku

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki