Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Februari uku. 8
  • Sikuzote Yehova Hutimiza Ahadi Zake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sikuzote Yehova Hutimiza Ahadi Zake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Unaweza Kuiga Imani ya Abrahamu na Sara!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Kwa Nini Utimize Ahadi Zako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Tunawezaje Kuimarisha Imani Yetu Katika Ahadi ya Yehova ya Ulimwengu Mpya?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Wingu Kubwa Sana la Mashahidi!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Februari uku. 8
Sara akiwa amebeba mimba ya Isaka; Sara akiwa amembeba Isaka huku wakiwatazama Hagari na Ishmaeli wakiondoka kwenda nyikani.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 20-21

Sikuzote Yehova Hutimiza Ahadi Zake

21:1-3, 5-7, 10-12, 14

Yehova alithawabisha imani ya Abrahamu na Sara kwa kuwapa mwana. Baadaye, utii wao chini ya hali ngumu ulionyesha imani yao thabiti katika ahadi za Yehova kuhusu wakati ujao.

Utii wangu chini ya hali ngumu unaonyeshaje kwamba ninaamini ahadi za Yehova kuhusu wakati ujao? Ninawezaje kuimarisha imani yangu?

Picha: 1. Dada akiwa amelala kitandani hospitalini akizungumza na daktari kuhusu msimamo wake kuhusu damu mume wake na binti yake wakimtazama. 2. Kikundi kidogo cha akina ndugu wakiwa wamekutana nyumbani kwa mtu huku polisi wenye silaha wakiingia.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki