Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 8
  • Nitamkaribisha Nani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Nitamkaribisha Nani?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unajitayarisha kwa Ajili ya Ukumbusho?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Kampeni ya Kuwaalika Watu Kwenye Ukumbusho Itaanza Machi 17
    Huduma Yetu ya Ufalme—2012
  • Mialiko ya Ukumbusho Itakayosambazwa Duniani Kote!
    Huduma Yetu ya Ufalme—2010
  • Kuwasaidia Wote Ambao Wameonyesha Kupendezwa
    Huduma Yetu ya Ufalme—1993
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 8
Ndugu akimpa mtu wa ukoo ambaye si Shahidi mwaliko wa kuhudhuria Ukumbusho wakiwa wameketi jikoni. Upande wa nyuma wake zao wanaongea huku wakitayarisha mlo.

MAISHA YA MKRISTO

Nitamkaribisha Nani?

Kila mwaka tunafanya jitihada za pekee kuwaalika watu katika eneo letu kuhudhuria Ukumbusho. Wengi wao ni watu tusiowafahamu. Tunapaswa pia kualika watu tunaowafahamu. Kuna uwezekano mkubwa wa mtu kuhudhuria Ukumbusho anapopokea mwaliko kutoka kwa mtu anayemfahamu. (yb08 11 ¶3; 14 ¶1) Wewe unaweza kumwalika nani?

  • Watu wa ukoo

  • Wafanyakazi wenzako au wanafunzi wenzako

  • Majirani

  • Ziara za kurudia na watu uliojifunza nao zamani au unaojifunza nao sasa

Pia, wazee watawakaribisha wasiotenda. Vipi ikiwa mtu unayetaka kumwalika haishi katika eneo lenu? Ili ujue muda na mahali Ukumbusho utakapofanyika karibu na mahali anapoishi, bofya kitufe cha KUTUHUSU katika ukurasa wa mwanzo wa tovuti ya jw.org, kisha bofya “Ukumbusho.” Unapojiandaa kwa ajili ya Ukumbusho wa mwaka huu, wafikirie wale unaoweza kuwaalika, kisha uwaalike wewe binafsi.

Picha: 1. Ndugu akimhubiria mtu wakati wa mapumziko kazini. 2. Ndugu akimwonyesha video mhudumu wa mkahawa.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki