Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Juni uku. 2
  • Yosefu Awasamehe Ndugu Zake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yosefu Awasamehe Ndugu Zake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe Tayari Kuwasamehe Wengine
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Samehe na Usahau—Yawezekanaje?
    Amkeni!—1995
  • “Je, Mimi Niko Mahali pa Mungu?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • ‘Endeleeni Kusameheana kwa Hiari’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Juni uku. 2
Yosefu akijitambulisha kwa ndugu zake huku wakimtazama kwa mshangao.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 44-45

Yosefu Awasamehe Ndugu Zake

44:1, 2, 33, 34; 45:4, 5

Inaweza kuwa vigumu kumsamehe mtu ambaye ametuumiza kimakusudi. Ni nini kilichomsaidia Yosefu awasamehe ndugu zake walipomkosea?

  • Yosefu hakulipiza kisasi badala yake alitafuta msingi wa kuwasamehe.—Zb 86:5; Lu 17:3, 4

  • Hakuweka kinyongo, aliiga mtazamo wa Yehova wa kuwa tayari kusamehe.—Mik 7:18, 19

Ninaweza kumwigaje Yehova inapohusu kusamehe?

Picha: 1. Dada wawili wakizungumza kwenye Jumba la Ufalme. 2. Ndugu wawili wakisalimiana kwa mikono.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki