Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 13
  • Tumia Neno la Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tumia Neno la Mungu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Uliza Maswali
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Gusa Moyo
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Kubali Msaada wa Yehova Kupitia Sala
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Wasaidie Wanafunzi Wako wa Biblia Washinde Mazoea Machafu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 13

BORESHA HUDUMA YAKO | ONGEZA SHANGWE YAKO KATIKA HUDUMA

Tumia Neno la Mungu

Neno la Mungu lina nguvu! (Ebr 4:12) Linaweza kugusa mioyo ya watu wasiomjua Mungu. (1Th 1:9; 2:13) Tunapata shangwe kubwa mtu anapothamini kweli mpya ya Biblia tuliyomwonyesha.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA PATA SHANGWE YA KUFANYA WANAFUNZI—BORESHA USTADI WAKO—WAONYESHE NGUVU ZA NENO LA MUNGU, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Picha kutoka kwenye video ‘Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi​—Boresha Ustadi Wako​—Waonyeshe Nguvu za Neno la Mungu.’ Neema akimsikiliza Lulu anaposoma andiko.

    Neema alionyeshaje nguvu za Neno la Mungu kwa kumsaidia Lulu kuona kwa nini ni jambo la hekima kuchunguza Neno la Mungu?

  • Picha kutoka kwenye video ‘Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi​—Boresha Ustadi Wako​—Waonyeshe Nguvu za Neno la Mungu.’ Lulu akisoma andiko kwa sauti.

    Neema alionyeshaje nguvu za Neno la Mungu kwa kusoma kwa sauti andiko kisha kuonyesha wazi jambo kuu katika mstari?

  • Picha kutoka kwenye video ‘Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi​—Boresha Ustadi Wako​—Waonyeshe Nguvu za Neno la Mungu.’ Lulu akitabasamu.

    Ni nini kilichoonyesha kwamba andiko hilo liligusa moyo wa Lulu, na unafikiri Neema alihisije?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki