Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 16
  • Kubali Msaada wa Yehova Kupitia Sala

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kubali Msaada wa Yehova Kupitia Sala
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Uliza Maswali
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Tumia Neno la Mungu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Gusa Moyo
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Wasaidie Wanafunzi Wako wa Biblia Washinde Mazoea Machafu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 16

BORESHA HUDUMA YAKO | ONGEZA SHANGWE YAKO KATIKA HUDUMA

Kubali Msaada wa Yehova Kupitia Sala

Yehova ndiye anayefanya mbegu ya kweli itie mzizi na kukua katika moyo wa mtu. (1Ko 3:6-9) Hivyo, ili tufanikiwe katika huduma, ni lazima tumtegemee Yehova ili atusaidie sisi na wanafunzi wetu wa Biblia.

Mwombe Yehova awasaidie wanafunzi wako kuvumilia wanaposhinikizwa na waweze kushinda vikwazo. (Flp 1:9, 10) Taja mambo hususa. Sali upate roho takatifu ili iongoze mawazo na matendo yako. (Lu 11:13) Wafundishe wanafunzi wako wa Biblia jinsi ya kusali, na uwahimize wafanye hivyo. Sali pamoja na wanafunzi wako wa Biblia na kwa niaba yao, ukitaja majina yao.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA PATA SHANGWE YA KUFANYA WANAFUNZI​—KUBALI MSAADA WA YEHOVA—​SALA, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Neema alikabili changamoto gani alipokuwa akijifunza na Lulu?

  • 1 Wakorintho 3:6 ilimsaidiaje Neema?

  • Changamoto ambayo Neema alikabili ilishughulikiwaje?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki