Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 6
  • Mfanye Yehova Awe Kimbilio Lako

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfanye Yehova Awe Kimbilio Lako
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Uhai wa Mwanadamu Ni Wenye Thamani kwa Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Majiji ya Makimbilio—Uandalizi Wenye Rehema wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Je, Unamfanya Yehova Kuwa Kimbilio Lako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • “Mchukue Mwanao”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mfanye Yehova Awe Kimbilio Lako

Majiji sita ya makimbilio yalitengwa katika Israeli kwa ajili mtu yeyote aliyemuua mwenzake bila kukusudia (Hes 35:15; w17.11 9 ¶4)

Wazee wa Israeli walitoa hukumu kwa ajili ya kila kesi (Hes 35:24; w17.11 9 ¶6)

Majiji ya makimbilio yaliandaa usalama na ulinzi (Hes 35:25; w17.11 11 ¶13)

Kama tu ambavyo mtu aliyeua bila kukusudia alivyohitaji kujidhabihu ili kupata ulinzi katika majiji ya makimbilio, ndivyo sisi pia tunavyopaswa kujidhabihu ili tupate rehema na msamaha kutoka kwa Mungu.

Kijana akiinama huku akiwa na huzuni. Picha: Kutafuta msamaha wa Yehova. 1. Mkosaji aliyetubu katika Israeli la kale akiwasihi wazee kwenye lango la jiji. 2. Kijana aliyetubu aliyeonyeshwa mapema akikutana na wazee wawili.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki