Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 6
  • Yehova Hubariki Matendo ya Imani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Hubariki Matendo ya Imani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi ya Kufanikisha Njia Yako
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Mwige Yehova kwa Kutokuwa na Ubaguzi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Waimarishe Wengine Wakati wa Taabu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Nuru Yazidi Kuongezeka
    2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 6
Makuhani wakibeba sanduku la agano kuingia kwenye Mto Yordani unaosonga kwa kasi.

Makuhani wakibeba Sanduku la Agano kuingia kwenye Mto Yordani

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Hubariki Matendo ya Imani

Huenda mwongozo wa Yehova usionekane kuwa wenye hekima kwa maoni ya mwanadamu (Yos 3:12, 13; it-2 105; ona picha kwenye jalada)

Wanaume waliowekwa rasmi wanapaswa kuweka mfano wa kufuata maagizo (Yos 3:14; w13 9/15 16 ¶17)

Yehova hubariki matendo ya imani (Yos 3:15-17; w13 9/15 16 ¶18)

Makuhani wakibeba sanduku la agano kuingia kwenye Mto Yordani unaosonga kwa kasi.

Tunampa Yehova jambo la kubariki tunapochukua hatua ya kwanza kuhubiri, hata ikiwa afya au hali yetu haituruhusu kutimiza mengi.

Dada akimhubiria mwanamke katika bustani kwenye nchi ambayo kazi yetu imepigwa marufuku huku ofisa wa polisi akipita karibu nao.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki