Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 9
  • Masomo Tunayojifunza Kutokana na Simulizi la Wagibeoni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Masomo Tunayojifunza Kutokana na Simulizi la Wagibeoni
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Wagibeoni Wenye Hekima
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Yoshua na Wagibeoni
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Yehova Aliwapigania Waisraeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yoshua Alihimiza Taifa kwa Mara ya Mwisho
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 9
Picha: Kazi mbalimbali ambazo Wagibeoni waligawiwa. 1. Mwanamume akibeba kifurushi kikubwa cha mbao. 2. Mwanamume akifunga mbao pamoja. 3. Mwanamume akitumia nira kubeba maji.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Masomo Tunayojifunza Kutokana na Simulizi la Wagibeoni

Wagibeoni walionyesha hekima inayotumika (Yos 9:3-6; it-1 930-931)

Wazee wa Israeli walitenda bila hekima kwa kukosa kuomba mwongozo wa Yehova (Yos 9:14, 15; w11 11/15 8 ¶14)

Wagibeoni waliwatumikia Waisraeli kwa unyenyekevu (Yos 9:25-27; w04 10/15 18 ¶14)

Wagibeoni walifanya kazi za hali ya chini kwa sababu walitaka kupata kibali cha Yehova. Tunaweza kuonyeshaje unyenyekevu kama huo leo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki