Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 12
  • Mfuate Yehova kwa Moyo Wote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfuate Yehova kwa Moyo Wote
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Je! Wewe Humfuata Yehova Kikamili?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Wale Wapelelezi Kumi na Wawili
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Masomo Yangu ya Biblia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Mtumaini Yehova kwa Moyo Wako Wote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 12

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mfuate Yehova kwa Moyo Wote

Kalebu alianza kumfuata Yehova kwa moyo wote mapema maishani (Yos 14:7, 8)

Baadaye maishani, Kalebu alimtegemea Yehova ili kutimiza mgawo mgumu (Yos 14:10-12; w04 12/1 12 ¶2)

Kalebu alithawabishwa kwa sababu ya kumtumikia Yehova kwa moyo wote (Yos 14:13, 14; w06 10/1 18 ¶11)

Picha: Dada mwaminifu akikabiliana na matatizo ya uzeeni. 1. Ameshika fimbo yake huku akiwa ameketi chini na kusali. 2. Anafanya mahubiri ya hadharani akiwa na dada mwenye umri mdogo. 3. Anawaonyesha watoto wa kutaniko lake albamu ya picha. 4. Anatabasamu kwa uhakika.

Imani ya Kalebu iliendelea kuimarishwa kadiri alivyoendelea kufuata mwongozo wa Yehova na kujionea baraka kutoka kwake. Sisi pia tunapoona Yehova akijibu sala zetu na kutuongoza katika njia mbalimbali tunaimarishwa kuendelea kumtumikia.—1Yo 5:14, 15.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki