Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w12 8/1 kur. 24-25
  • Masomo Yangu ya Biblia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Masomo Yangu ya Biblia
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Habari Zinazolingana
  • Somo la 3
    Masomo Yangu ya Biblia
  • Kujitayarisha Kuhubiri
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kujitayarisha Kuhubiri
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • “Mimi Hapa, Nitume Mimi”
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
w12 8/1 kur. 24-25

Masomo Yangu ya Biblia

UMRI USIOZIDI MIAKA 3

Kaleb anatambua kwamba rafiki yake ni mgonjwa.

Kwa hiyo, anasema: “Najua kile nitakachofanya.

Nitamwandikia barua ili kumfanya ajihisi vizuri, kisha nitampelekea!”

Ukionyesha fadhili, nyote wawili mtakuwa na furaha! 1 Petro 3:8

MAZOEZI

Mwombe mtoto wako akuonyeshe:

Nyumba Dawati Kaleb

Jua Ndege Mti

Mwambie mtoto wako kuhusu rafiki ambaye ni mgonjwa na mzungumzie jinsi ambavyo nyote wawili mnaweza kumtia moyo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki