Somo la 3
Makala Iliyochapishwa
David amepigiwa simu kwamba rafiki yake ni mgonjwa.
Basi anasema: “Najua nitafanya nini.
Nitamwandikia barua ya kumtakia apone haraka, halafu nimpe!”
Ukiwafanyia wengine mazuri, nyote mtakuwa na furaha!
MAZOEZI
Msomee mtoto wako:
Mwombe mtoto wako akuonyeshe:
Nyumba Meza David
Jua Ndege Mti
Muulize mtoto wako:
Unajua mtu yeyote ambaye ni mgonjwa?
Tunaweza kumsaidiaje?