Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • snnw wimbo na. 145
  • Kujitayarisha Kuhubiri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kujitayarisha Kuhubiri
  • Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Habari Zinazolingana
  • Kujitayarisha Kuhubiri
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Mimi Hapa, Nitume Mimi”
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Somo la 3
    Masomo Yangu ya Biblia
  • Tumejitoa Kutumikia
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
snnw wimbo na. 145

Wimbo Na. 145

Kujitayarisha Kuhubiri

Makala Iliyochapishwa

(Yeremia 1:17)

  1. Mapema.

    Asubuhi

    Siku ya kuhubiri.

    Manyunyu nayo,

    Yaanza kunyesha.

    Natamani kukaa nyumbani,

    Nilale.

    (KORASI)

    Nitafanikiwa kwa sala,

    Na matayarisho,

    Nao mtazamo mzuri,

    Ni muhimu.

    Malaika watuongoza.

    Yesu Wanatii.

    Bega kwa bega na rafiki,

    Sitashindwa.

  2. Furaha

    Tutapata

    Tukijitahidi tu.

    Bidii yetu

    Yehova aona,

    Akumbuka upendo wetu

    wa kweli.

    (KORASI)

    Nitafanikiwa kwa sala,

    Na matayarisho,

    Nao mtazamo mzuri,

    Ni muhimu.

    Malaika watuongoza.

    Yesu Wanatii.

    Bega kwa bega na rafiki,

    Sitashindwa.

(Ona pia Mhu. 11:4; Mt. 10:5, 7; Luka 10:1; Tito 2:14)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki