Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 8
  • Jinsi ya Kuwa Rafiki Mzuri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi ya Kuwa Rafiki Mzuri
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Mungu Anataka Uwe Rafiki Yake
    Wewe Unaweza Kuwa Rafiki ya Mungu!
  • Je, Nimshtaki Rafiki Yangu?
    Amkeni!—2008
  • Unawezaje Kuwa Rafiki Mzuri?
    Amkeni!—2014
  • Biblia Inasema Nini Kuhusu Urafiki?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 8

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jinsi ya Kuwa Rafiki Mzuri

Mfariji na umtie moyo rafiki yako anapohuzunika (1Sa 20:1, 2; w19.11 7 ¶18)

Mwonye rafiki yako anapokuwa hatarini (1Sa 20:12, 13; w08 2/15 8 ¶7)

Mtetee rafiki yako anapochongewa (1Sa 20:30-32; w09 10/15 19 ¶11)

Wenzi wa ndoa wakimsikiliza ndugu aliye na uhitaji.

Watu wa Yehova wana nafasi nyingi za kusitawisha urafiki mzuri. Ili kupata rafiki, lazima uwe rafiki. Ungependa kuanzisha urafiki na nani katika kutaniko?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki