Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 12
  • Mngojee Yehova kwa Subira

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mngojee Yehova kwa Subira
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Dumisha Unyenyekevu Unapofanikiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mbinu ya Vita ya Daudi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Simulizi Kuhusu Ujasiri na Ubunifu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jitie Nguvu kwa Msaada wa Yehova Mungu Wako
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 12
Daudi na mmoja wa wanaume wake akiwa amejificha pangoni huku Mfalme Sauli akiondoka. Daudi anamnyooshea mwanamume huyo aliyeshika upanga asimuue Sauli.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mngojee Yehova kwa Subira

Daudi alikuwa na nafasi ya kukomesha jaribu lake (1Sa 24:3-5)

Daudi aliangalia hali yake kwa maoni ya Yehova na akajizuia (1Sa 24:6, 7)

Daudi alikuwa na imani kwamba Yehova angesuluhisha mambo (1Sa 24:12, 15; w04 4/1 16 ¶8)

Kama Daudi, tunapaswa kumngojea Yehova kwa subira badala ya kutumia njia zisizo za kimaandiko kukomesha majaribu yetu.​—Yak 1:4; w04 6/1 22-23.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki