Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 12
  • Mfano Mzuri wa Kuwazoeza Wengine

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfano Mzuri wa Kuwazoeza Wengine
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Elisha Aliona Magari ya Vita Yenye Moto​—Je, Unayaona?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Kielelezo cha Kujidhabihu na cha Uaminifu-Mshikamanifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
  • Yehova Anawatumia Wanawake Wawili Kuwaokoa Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 12
Elisha akimtazama Eliya akigawa maji ya Mto Yordani akitumia vazi lake rasmi.

Elisha akimtazama Eliya anapofanya muujiza

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mfano Mzuri wa Kuwazoeza Wengine

[Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 2 Wafalme.]

Elisha alimtazama Eliya alipokuwa akifanya muujiza (2Fa 2:8; w15 4/15 13 ¶15; tazama picha kwenye jalada)

Kwa unyenyekevu Elisha alitumia mazoezi mazuri aliyokuwa amepata (2Fa 2:13, 14; w15 4/15 13 ¶16)

Mzee akimsikiliza ndugu akifanya mazoezi ya hotuba. Mzee huyo ameshika broshua “Kufundisha.”

Kutanikoni, Yehova amewapa wazee jukumu la kuwazoeza wengine. (2Ti 2:2) Wazee wakikuzoeza, uwe tayari, mwenye kutegemeka, na mnyenyekevu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki