Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 2
  • Kwa Nini Uwe Mnyenyekevu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kwa Nini Uwe Mnyenyekevu?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Yosia alikuwa na marafiki wazuri
    Wafundishe Watoto Wako
  • Tunajifunza Nini Kutokana na Wimbo wa “Upinde”?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Yosia Alichagua Kutenda Yaliyo Sawa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Yosia Aliipenda Sheria ya Mungu
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 2
Kwa unyenyekevu Mfalme Yosia anamsikiliza Shafani, mwandishi wake, anayesoma kitabu cha kukunjwa.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Kwa Nini Uwe Mnyenyekevu?

Yosia alikuwa na hamu ya kumfurahisha Yehova (2Fa 22:1-5)

Kwa unyenyekevu alikiri kwamba watu walikuwa wamefanya makosa (2Fa 22:13; w00 9/15 29-30)

Kwa sababu Yosia alikuwa mnyenyekevu, Yehova alimbariki (2Fa 22:18-20; w00 9/15 30 ¶2)

Tunapata kibali cha Yehova tunapomwomba mwongozo wake kwa unyenyekevu na tunapokubali makosa yetu na kurekebisha mwenendo wetu.—Yak 4:6

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki