Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 10
  • Imarisha Tamaa Yako ya Kufanya Mapenzi ya Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Imarisha Tamaa Yako ya Kufanya Mapenzi ya Mungu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Daudi na Sauli
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • “Kutii Ni Bora Kuliko Dhabihu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Sababu Yampasa Daudi Akimbie
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • 1 Samweli—Yaliyomo
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 10
Picha: 1. Mfalme Sauli mwenye kiburi anatoa dhabihu kwenye madhabahu. 2. Daudi anakataa kuyanywa maji anayopewa na mmoja wa mashujaa wake.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Imarisha Tamaa Yako ya Kufanya Mapenzi ya Mungu

Yehova alimkataa Sauli kwa sababu alikosa kutii (1Nya 10:13, 14)

Yehova alimchagua Daudi awe mfalme badala ya Sauli (1Nya 11:3)

Tofauti na Sauli, Daudi alikubali kuongozwa na sheria na kanuni za Yehova (1Nya 11:15-19; w12 11/15 6 ¶12-13)

Daudi alipenda kufanya mapenzi ya Mungu. (Zb 40:8) Tunaweza kusitawisha tamaa kama hiyo ya kufanya yaliyo mema kwa kujifunza kuona mambo kama Yehova anavyoyaona.​—Zb 25:4; w18.06 17 ¶5-6

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki