Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 14
  • Wasaidie Vijana Wafanikiwe

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wasaidie Vijana Wafanikiwe
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Jitahidi Kuwa Mwenye Kiasi Kama Esta
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • “Mchukue Mwanao”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Baba Ampa Mwana Wake Himizo Lenye Upendo
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 14
Mfalme Daudi akimwonyesha Sulemani wafanyakazi wanaotayarisha vifaa vya kujenga hekalu.

Daudi akimwandalia Sulemani wafanyakazi na vifaa vya kujenga hekalu

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Wasaidie Vijana Wafanikiwe

Daudi alijua kwamba kwa msaada wa Yehova, Sulemani angefanikiwa kukamilisha ujenzi wa hekalu (1Nya 22:5; w17.01 29 ¶8)

Daudi alimtia moyo Sulemani amtegemee Yehova na kutenda (1Nya 22:11-13)

Daudi alifanya kila kitu alichoweza ili kumsaidia Sulemani (1Nya 22:14-16; w17.01 29 ¶7; ona picha kwenye jalada)

Picha: 1. Mzee anamzoeza kijana jinsi ya kushughulikia eneo la kutaniko la kuhubiri. Mzee huyo anamwonyesha ramani ya eneo lote la kutaniko, orodha ya maeneo ambayo wahubiri mbalimbali wamegawiwa, na ramani ndogo ya eneo moja hususa. 2. Ndugu huyo kijana anamweleza ndugu mwingine jinsi ya kutumia ramani ya eneo alilogawiwa.

JIULIZE, ‘Ninaweza kuwasaidiaje vijana katika kutaniko letu wapate furaha na mafanikio wanapomtumikia Yehova?’​—w18.03 11-12 ¶14-15

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki