Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 14
  • “Mchukue Mwanao”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mchukue Mwanao”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mfanye Yehova Awe Kimbilio Lako
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Sala Ilimchochea Yehova Kutenda
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Wasaidie Vijana Wafanikiwe
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 14
Mwanamke Mshunamu akimkumbatia kwa furaha mwana wake aliyefufuliwa huku Elisha akiwatazama.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Mchukue Mwanao”

Mwanamke Mshunamu alimwonyesha Elisha ukarimu wa pekee (2Fa 4:8-10)

Yehova alimbariki kwa kumpa mwana (2Fa 4:16, 17; w17.12 4 ¶7)

Yehova alimtumia Elisha kumfufua mwana wake (2Fa 4:32-37; w17.12 4 ¶8)

Je, unaomboleza kwa sababu ya kumpoteza mtoto wako? Yehova anaelewa uchungu unaohisi. Hivi karibuni sana, atamfufua mpendwa wako awe hai tena. (Ayu 14:14, 15) Hiyo itakuwa pindi yenye kufurahisha kwelikweli!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki