Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 2
  • Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Jeshi la Yehova Lenye Farasi na Magari ya Vita ya Moto
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Je! Wewe Waweza Kuona Yasiyoonekana?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Elisha Aliona Magari ya Vita Yenye Moto​—Je, Unayaona?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 2
Elisha akimwonyesha mtumishi wake aliyestaajabu idadi kubwa ya farasi na magari ya vita yanayowaka moto yaliyozunguka jeshi la Siria.

Elisha akimwambia mtumishi wake: “Wale walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.”—2Fa 6:16

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao

Elisha na mtumishi wake walikuwa wamezungukwa na maadui (2Fa 6:13, 14; it-1 716 ¶4)

Elisha aliendelea kuwa mtulivu na akaimarisha imani ya mtumishi wake (2Fa 6:15-17; w13 8/15 30 ¶2; ona picha kwenye jalada)

Yehova alimwokoa Elisha na mtumishi wake kimuujiza (2Fa 6:18, 19; it-1 343 ¶1)

Yesu na jeshi lake la mbinguni wakitazama polisi na wanajeshi wakiwa wamejaa barabarani. Ndugu akiwasaidia Mashahidi wenzake wawili kuingia ndani ya nyumba.

Wale wanaotupinga hawana nguvu kuliko Yehova. Ikiwa tungeweza kuona kinachotendeka katika makao ya roho na kuona jinsi Yehova anavyowatumia malaika wake kuwalinda watu wake, unafikiri tungeona nini?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki