Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 12
  • “Je, Unanufaika Kikamili Kutokana na Neno la Mungu?”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Je, Unanufaika Kikamili Kutokana na Neno la Mungu?”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Huwathawabisha Watu Wanaotenda kwa Ujasiri
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Yosia alikuwa na marafiki wazuri
    Wafundishe Watoto Wako
  • “Iweni na Imani Katika Yehova Mungu Wenu”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Kumtumikia Yehova Si Vigumu Sana
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 12
Mfalme Yosia ararua vazi lake kwa huzuni.

Yosia anararua mavazi yake baada ya kusikia kitabu cha Sheria ya Yehova kikisomwa kwa sauti

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Je, Unanufaika Kikamili Kutokana na Neno la Mungu?”

Yosia alisikiliza kwa makini Neno la Mungu (2Nya 34:18, 19; ona picha kwenye jalada)

Alijitahidi sana kuelewa maana ya mambo aliyokuwa akisikiliza (2Nya 34:21; it-1 1157 ¶4)

Alitenda kupatana na mambo aliyojifunza (2Nya 34:33; w09 6/15 10 ¶20)

Ndugu anatupa michezo ya video yenye jeuri baada ya kusoma Biblia.

JIULIZE, ‘Je, ninatenda upesi kupatana na mambo ninayojifunza kumhusu Yehova katika Neno lake, Biblia?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki